- Taswira ya maisha ya mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi ,Winnie Mandela, aliyefariki akiwa na miaka 81.
-
Winnie Madikizela Mandela aliitwa " Mama wa Taifa" kwa kazi ya yake dhidi ya ubaguzi
-
-
-
Alikuwa ishara ya mapigano dhidi ya ubaguzi wa rangi pamoja na aliyakuwa mume wake laiti Nelson Mandela, kwa Alitiwa rumande mara kadhaa katika utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusinikaribu miongo mitatu Alikutana na viongozi wa kimataifa - kama vile Senata wa Marekani Edward Kennedy - kujaribu kumtoa Bwana Mandela kutoa gerezani Alishutumiwa kuhusika na mauaji wa kijana wa umri wa miaka 14, aliyekuwa mpiganaji, Stompie Seipei (kwenye picha) - alizikana shtuma hizo Winnie and Nelson Mandela walitalakiana mwaka 1996, miaka 6 baada ya Bw Mandela kuachiliwa -
Winnie Mandela alikuwa mwana siasa mkongowa katika baada ya chama cha ANC party kuchukuwa madarakalakini muda wake haikuwa bila alama za kashfa
Alibaki kuwa mtu maarufu
katika jamii - hapa akionekana akimtia moyo mwanaraidha Caster Semenya -
hata baada ya Mandela kuacha madaraka
|
No comments:
Post a Comment