Responsive Ads Here

Monday 2 April 2018

Nyumba zilizovunja rekodi ya bei kubwa zaidi duniani

Ujenzi wa majumba ya kisasa na yenye muonekano wa kipekee unafanyika kila siku, na biashara imetajwa kuwa sababu kubwa zaidi kwenye kuleta ushindani. 
Hapa nimekuletea list ya nyumba 5 zilizoweka rekodi ya juu zaidi kwenye bei ndani ya kipindi cha miezi 12 ya mwaka 2016.
1. Taohuayuan, Suzhou – CHINA (Zaidi ya Tsh. Bilioni 341).
The sale of this 72,441 sq ft mansion to Chinese real estate tycoon Hongtian Chen back in July smashed records right, left and centre. 'Peach Blossom Land' or 'Utopia', as it translates, is the most expensive home ever sold in China. It has 32 bedrooms, a lake-side swimming pool, wine cellar, and several courtyards and gardens, one of which was modelled on a UNESCO world heritage site.Mauzo ya jumba hili lenye ukubwa wa futi za mraba 72,441 mwezi July, 2016 yalivunja rekodi za kwenye biashara za nyumba duniani na mpaka sasa lina rekodi ya kuwa jumba pekee lenye gharama kubwa zaidi nchini China.
Mjengo huu una vyumba vya kulala 32, swimming pool iliyojengwa kama ziwa lenye maji mengi, sehemu ya kukinga Wine, pamoja na bustani za kila aina, jumba hili liliwahi kutajwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu UNESCO kama bustani bora ya dunia
2. 301 N Carolwood Drive, California – MAREKANI (Zaidi ya Tsh. Bilioni 222).
Another big ticket deal for California, this 30,000 sq ft LA property, was sold to billionaire Tom Gores in October. Not bad for 10 bedrooms, 20 bathrooms, a basketball court, a 10 car garage and a $50m drop on the original asking price.Mjengo mwingine nii huu kutoka California, uko kwenye eneo la ukubwa wa futi za mraba 30,000 huko Los Angeles, uliuzwa kwa bilionea Tom Gores mwezi October 2016. Una vyumba 10 vya kulala, bafu 20, uwanja wa Basketball, gereji 10 na hapo ulikuwa umepungzwa kwa dola milioni 50  kutoka bei ya mwanzo.
3. The Playboy Mansion, California – MAREKANI (Zaidi ya Tsh. Bilioni 222).
While no one would fork out the full $200m asking price to live in the world's most famous bunny palace, it still fetched an impressive $100m back in August. This bought the new owner Daren Metropoulos a home theatre, separate guest house, a zoo license and an on-site octogenarian -- as terms of the sale included a caveat that the silk pyjama-wearing Hugh Heffner gets to live in the property until he dies.Wakati watu wakishangaa bei iliyotangazwa juu ya kuuzwa nyumba hii ambayo ilikuwa zaidi ya dola za Marekani Milioni 200m, alijitokeza bilionea Daren Metropoulos na kuinunua kwa dola milioni 100 mwezi August 2016. Ndani yake kuna ukumbi wa kisasa wa Cinema, nyumba ya pembeni kwaajili ya wageni, Zoo yenye leseni kwaajili kuhifadhi wanyama pori.
4. Crespi Hicks Estate, Texas – MAREKANI (Zaidi ya Tsh. Bilioni 222).
With sweeping lines inside and out and a monochrome marble entrance hall, this was the deep south sale of the year. The 28,000 sq ft Dallas mansion was snapped up by founder of Beal Bank, Andrew Beal in January. Don't be fooled by the fact it only has seven bedrooms. It also boasts a separate two-storey guest house. And a helipad.
Likiwa limepambwa na sakafu ya Mable kwenye njia zake, hili lilikuwa jumba lililouzwa bei kubwa zaidi kwenye mji wa California, Marekani. Jengo hili liko kwenye eneo la ukubwa wa futi za mraba 28,000 huko Dallas na lilinunuliwa na muanzilishi wa kampuni ya Beal Bank, Andrew Beal mwezi January 2016.
Pamoja na muonekano wa ukubwa huo lina vyumba 7 tu vya kulala. Pia inatenganisha nyumba ya wageni na wenyeji.
5.
The Penthouse, 432 Park Avenue, New York – MAREKANI (Zaidi ya Tsh. Bilioni 194).
A record breaker, this sale marked the biggest closed in New York City this year. The 8,255 sq ft penthouse at the top of the world's tallest residential tower, designed by Rafael Viñoly, was purchased by Saudi billionaire Fawaz Al Hokair in a deal reported to have closed in September.Hii ni nyumba ya ndani (Apartment) iliyoweka rekodi ya mauzo makubwa jijini New York Marekani mwaka 2016. Ikiwa ndani ya eneo la ukubwa wa futi 8,255 za mraba ndani ya jengo refu zaidi la makazi ya watu jijini humo, Michoro ya ramani zake imebuniwa na mtaalamu wa majengo Rafael Viñoly, ilinunuliwa na bilionea kutoka Saudi Arabia, Fawaz Al Hokair.

No comments:

Post a Comment