Responsive Ads Here

Monday 2 April 2018

Twiga wa Afrika Ndiye Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani.

Twiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anapatikana Afrika. Ndiye mnyama mkubwa anayekula majani. Twiga anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19
Ananyonyesha kwa miezi 13 – 15 months
Anakimbia kilomita 37 kwa saa
Dume ana urefu wa futi 16 – 20 jike ana urefu wa  futi 15
Dume ana uzito wa ratili 3,500 na jike ana uzito wa ratili 1,800

No comments:

Post a Comment