Vipo visiwa vingi sana duniani na visiwa hivi husifiwa kwa sifa
mbalimbali ikiwa ni kutokana na mionekano yake. Watu wengi hupenda
kutembelea visiwani kwa shughuli mbalimbali ikiwemo matembezi tu ya
kawaida, kufanya sherehe mbalimbali kama harusi, lakini pia maharusi
wengi hupenda kwenda kwenye visiwa kwa ajili ya honeymoon au hata ambao
wameshaoana miaka mingi hupendelea kwenda visiwani kwa anniversary n.k
Zifuatavyo ni picha za visiwa 10 vinavyotajwa kuwa vizuri zaidi duniani kwa mwaka 2017.
10. Bora Bora – Ufaransa
9. Palawan – Philippines
8. Shelisheli – Madagascar
7. The Cook – New Zealand
6. Santorini – Ugiriki
5. Maldives – Jamhuri ya Maldives (Bahari wa Hindi)
4. Bali – Indonesia
3. Dalmatian – Croatia
2. Fiji – Pacific Magharibi
1. Hawaii – Marekani
Zifuatavyo ni picha za visiwa 10 vinavyotajwa kuwa vizuri zaidi duniani kwa mwaka 2017.
10. Bora Bora – Ufaransa
9. Palawan – Philippines
8. Shelisheli – Madagascar
7. The Cook – New Zealand
6. Santorini – Ugiriki
5. Maldives – Jamhuri ya Maldives (Bahari wa Hindi)
4. Bali – Indonesia
3. Dalmatian – Croatia
2. Fiji – Pacific Magharibi
1. Hawaii – Marekani
No comments:
Post a Comment